Mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa kwa ufadhili wa UCSAF katika Kata ya Matuli, Mkoani Morogoro
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashiba akisoma taarifa fupi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mnara wa mawasiliano ya simu wakati wa uzinduzi wa mnara huo katika Kijiji cha Matuli, Kata ya Matuli, Mkoani Morogoro
Mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa kwa ufadhili wa UCSAF katika kata ya Kajana, wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.
Mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa kwa ufadhili wa UCSAF katika kata ya Kajana, wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.